| Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Segese wilaya ya Kahama. |
| Wanachama wa UWT wakiwakaribisha viongozi wao wa kitaifa katika mkoa wa Shinyanga ,huku wakionesha furaha waliyonayo. |
| Vija wa chipukizi wakiwa tayari kumpokea mgeni rasmi katibu mkuu wa UWT taifa mpakani mwa mkoa wa Shinyanga na Simiyu katika kijiji cha Wishiteleja wilaya ya Kishapu. |
| Mapokezi yanaendelea,ni wanachama na viongozi wa UWT mkoa wa Shinyanga wakimkaribisha katibu mkuu wa UWT taifa Amina Makilagi. |
| Kiongozi wa Uwt akizungumza na wananchi wa kijiji cha Lyabukande wilaya ya Shinyanga |
| Hata ngoma zilikuwepo za kucheza na nyoka,hapa ni katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga. |
| Zawadi pia zilikuwepo katika ziara hiyo wananchi walivutiwa na kuamuwa kutoa zawadi ya kuku kwa mgeni rasmi. |
| Wakinamama wakifurahia jambo |
| Diwani wa vitimaalum kata ya Didia wilaya ya Shinyanga akitoa neno la shukrani kwa viongozi wa UWT waliotembelea kata hiyo. |