| Kulia ni mwandishi wa habari mkongwe Edda Sanga akimsikiliwa mwandishi wa habari wa Radio Faraja Veronica Natalis akiwasilisha wazo lake la habari alililoandaa kwa ajili ya kufanyia uchunguzi. |
| Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea. |
| Mafunzo yanaendelea |
| Waandishi wa habari wakiendelea kufuatiia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa. |
| Mafunzo yanaendelea |
| Kushoto ni mwezeshaji wa mafunzo hayo mwandishi wa habari mkongwe wa miaka mingi Ndimara Tegambwage akiwa na afisa kutoka TMF Japhet Sanga. |
| Waandishi wa habari wakifuatiia mafunzo ya TMF. |
| Waandishi wa habari wakijiandaa kuwasilisha wazo la habari la kiuchunguzi kwa magwiji wa tasnia ya habari ambao waliambatana na TMF. |
| Mahojiano yanaendelea kwa washiriki kwenda mmoja mmoja kuwasilisha wazo la habari la kiuchunguzi |