Hawa ndiyo washindi wa kinyanganyiro cha kumsaka miss Shinyanga 2014, Katikati
ni mshindi wa kwanza Nicole
Sarakikya kutoka wilaya ya Kishapu ,kushoto ni mshindi wa pili Mary Emmanuel (Ushetu ) na kulia ni mshindi
namba tatu Rachel Judica akiwakilisha halmashauri ya Shinyanga ambao pia watashiriki katika shindano la
kutafuta mrembo wa kanda ya ziwa lililoandaliwa na Flora Salon.
Majaji wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kinajiri katika ukumbi wa NSSF mjini Kahama.Katikati
ni chief judge Flora Lauo kutoka Mwanza,kushoto ni bi Aneth Dotto
kutoka Arusha Miss Shinyanga mwaka 2003,kulia ni jaji Lutufyo Kanyenye.

Washiriki walioingia 5 bora katika shindano la
Redd's Miss Shinyanga 2014 lililofanyika wilayani Kahama ,ambapo jumla ya warembo 20 wa mkoa wa Shinyanga walikuwa
wakiwania taji hilo. 
Jukwaani ni Asela
Magaka ambaye ni mkurugenzi wa Asela Promotions waandaaji wa mashindano
ya Miss Shinyanga 2014 akimtangaza mshindi wa Shindano la kutafuta
mrembo mwenye kipaji(Miss Talent Shinyanga 2014) lililofanyika mjini
Shinyanga Juni 25,2014 katika ukumbi wa NSSF.
Jukwaani ni Asela
Magaka ambaye ni mkurugenzi wa 
Miss Talent Shinyanga 2014 Irene Makwaiya kutoka wilaya ya Kishapu aliyeibuka na kitita cha shilingi 300,000/=
Waandishi wa habari kutoka Radio Kahama FM wakifuatilia kwa makini shindano lilivyokuwa likiendelea.
Miss Shinyanga 2014 Nicole Sarakikya
|
| | |