



Basi la SkyLine linalofanya Safari zake katika ya Mbeya na Dodoma limepinduka katika eneo la Mlima Nyoka Majira ya Saa moja Kasoro za Asubuhi leo. Taarifa za awali zinasema kuwa Hakuna Aliyepoteza maisha katika Ajali hiyo na baadhi ya abiria wachache ndo wamepata majeraha sehemu mbalimbali za miili.
Via :Lucy patrick blog