| Wajumbe wa kamati ya bunge ardhi maliasili na mazingira wakiwa katika ukumbi uliopo ndani ya mgodi wa Buzwagi mara baada ya kutembelea kujionea hali halisi ya utunzaji wa mazingira. |
![]() |
| Wajumbe wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi unaomilikiwa na kampuni ya African barrick gold mine uliopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga. |
![]() |
| Waandishi wa habari wakiwa kazini ni katika mgodi wa Buzwagi |
![]() |
| Naibu waziri akiwa na wajumbe wa kamati wakieleka kukagua bwawa la kuhifadhia maji katika mgodi huo. |
| Burudani ya ngoma inaendelea |




